Thursday, September 29, 2011
Tuesday, September 27, 2011
SHIDA NDO CHANZO CHA MAFANIKIO..!?
siku zote nimekua nikiamin kwanba shida ndo zinazofanya binadamu wapambane ili kuyatawala mazingira yanayowakabiri.hata ukiangaria maisha ya matajiri wengi dunian wametoka katika hali duni sana,tulivyokuwa tunasoma pale old mosh secondary tulikua tunaamin kwamba ili tuondokane na mazngira magumu yaliyokua yanatuzunguka basi tusome kwa bidii.nakwel ilitusaidia mpaka leo hii tumefaulu.
Subscribe to:
Posts (Atom)